Chagua Huduma

Bure & Rahisi Kufanya

Tengeneza CV & Barua za Kitaalamu kwa Dakika Chache

Unda CV inayovutia waajiri kwa kutumia lugha ya Kiswahili rahisi, huku tukikupa CV ya Kiingereza yenye weledi wa hali ya juu na ubora uliothibitishwa.

Mohamed Hassan Mohamed

Software Engineer

Personal Information

Email: amina.hassan@email.com

Phone: +255 123 456 789

Location: Dar es Salaam, Tanzania

Experience

Senior Developer 2022 - Present

Tech Solutions Ltd

Junior Developer 2020 - 2022

Digital Agency Tanzania

Education

B.Sc. Computer Science 2020

University of Dar es Salaam

Skills

JavaScript, Python, React, PHP, MySQL, MongoDB

Vipengele

ATS Friendly

CV zinazopita kwenye mifumo ya kisasa ya kuchuja wafanyakazi.

Ubora wa Hali ya Juu

PDF nzuri na yenye mwonekano safi bila ukungu wowote.

Lugha Mbili

Jaza kwa Kiswahili, pata CV ya Kiingereza yenye weledi.

Maoni ya Watumiaji

Simon Kiondo

Mtangazaji, Dar es Salaam

"UndaCV ilisaidia sana! Nikatengeneza CV ya kitaalamu kwa dakika chache. PDF inapendeza sana na waajiri wanasikia vizuri."

Meck

Software Developer, Arusha

"Nimeipitia UndaCV na kama developer naweza sema User Experience UX ni nzuri sana. Kutengeneza CV ya Kiingereza moja kwa moja ni rahisi na haraka! hii ni maajabu"

Hassan Hamis

HR, Dar es salaam

"Bure kabisa na haina advertising. Hivyo ndivyo inavyotakiwa! Karibu wengi wanakatumia UndaCV hali ini."

Jinsi Inavyofanya Kazi

1. Ingiza Taarifa

Jaza maelezo yako kupitia fomu rahisi za Kiswahili.

2. Chagua Kiolezo

Chagua mwonekano wa CV unaopenda zaidi.

3. Pakua PDF

Pata CV yako ya Kiingereza ikiwa tayari kwa sekunde chache.

Video ya Jinsi ya Kufanya Kazi

Angalia video hii ili kujifunza zaidi kuhusu jinsi ya kutengeneza CV yako kwa haraka na rahisi.